ni Juu na Chini ni Mashabiki wa miondoko ya Pwani wakipagawa na ghani za Mzee Yussuph.
Raha ya Taarabu au inaponoga shurti mkono upwe juu.
TPSC DAR ES SALAAM KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI DAR ES SALAAM, Mei 1, 2026
-
Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Makao Makuu na Kampasi ya
Dar es Salaam, leo wameungana na watumishi wengine wa taasisi za umma na
binafsi...
9 hours ago
0 Comments