Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitia saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mwanahabari mkongwe marehemu David Wakati Masaki Dar es Salaam leo(Picha na Muhidin Sufian -OMR).
Makamu Rais akiagana na baadhi ya ndugu wa marehemu , David Wakati.
0 Comments