Sugu akiwa katika picha ya pamoja na wasanii , Mkoloni kushoto kwake na waratibu wa tamasha hilo ambalo limepangwa kufanyika Novemba 26 katika viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa Jamii Jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo limetajwa kwa jina la Anti Virus Burudani kwa Mashabiki.
MWENYEKITI TUME YA UCHAGUZI AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA WATENDAJI WA UCHAGUZI
MKOANI IRINGA
-
NA DENIS MLOWE, IRINGA
MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs
Mwambegele, leo amefungua rasmi mafunzo ya siku tatu kwa w...
1 hour ago
0 Comments