MSHIRIKI KUTOKA VENEZUELA ANYAKUA TAJI LA MISS WORLD 2011

Mshindi wa shindano la Miss World 2011 kutoka nchini Venezuela akiwapungia wageni waalikwa. Baadhi ya Washiriki wa Miss World waliofanikiwa kulitikisa jukwaa la shindano hilo.Washiriki 7 (msatri wa mbele) waliofanya vyema katika kinang'anyiro hichoWashiriki wakitoa burudani mbalimbali wakati wa fainali za kumsaka miss world 2011.Washiriki wa Miss World wakikatiza kwenye jukwaa la shindano la Miss World 2011 lililofanyika.

Amid much fanfare at the Earls Court Two in London, Miss Venezuela, Ivian Sarcos, was crowned the 61st Miss World with MissPhilippines, Gwendoline Ruais as the 1st runner up and Miss Puerto Rico, Amanda Perez, the 2nd runner up. Miss Venezuela looked gorgeous in a large pink feathery gown open in the front as she was being crowned by reigning Miss World, Alexandria Mills of USA.
Narrowed down from top 15, the top 7 comprised Korea, Venezuela, England, Philippines, Puerto Rico, South Africa and Scotland. The 15 semi finalists included Indonesia, Korea, Italy, Sweden, Zimbabwe, Kazakhstan, Ukraine, Venezuela, Philippines, US VI, Spain, Puerto Rico, South Africa, Scotland and England.

Post a Comment

0 Comments