Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwapungia mikoni mashabiki kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mara baada ya kuzindua rasmi michuano ya TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 ambapo leo michuano hiyo imekutanisha timu za Tanzania Kilimanjaro Stars na Timu ya taifa ya Rwanda Amavubi, mpira umekwisha na timu ya Rwanda imeifunga Kilimanjaro Stars goli 1-0 , katika picha kulia anayecheka ni Rais wa TFF na Shirikisho la Vyama vya michezo Afrika Mashariki na kati CACAFA Leodger Tenga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bw. Richard Wells na Teddy Mapunda (kulia)Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni hiyo wakiwapungia mkono Mashabiki waliojitokeza katika uzinduzi huo wa Michuano ya TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni .
(PICHA ZOTE NA JOHN BUKUKUwww,fullshangwe.blogspot.com)
0 Comments