Association of Tanzanian Women in Diaspora (ATWID) ilisherehekea miaka 3 tangu kuzinduliwa rasmi na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Mwanaidi Sinare Maajar (Mlezi wa ATWID) tarehe 1/11/2008. Sherehe hii ilifanyika Reading tarehe 5/11/2011 pale Vicent Restaurant.
0 Comments