Social Icons

Thursday, September 29, 2011

WASANII WATAKAOCHUANA KATIKA SHINDANO LA TUSKER ALL STARS , NYOTA WA ULAYA WAPANDA MITI NAIROBI

 MFALEME wa miondoko ya Dance Hall Shaggy akipanda mti na washiriki wa Tusker All Stars leo asubuhi Nairobi Kenya.
 Wanamuziki watakaotumbuza kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011
ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 1 kwenye viwanja vya Canirvo,leo
mapema wameshiriki kwenye zoezi la upandaji miti kwenye msitu wa
Karura (Karura Forest),nje kidogo ya jiji la Nairobi,Nchini
Kenya.
Zoezi hilo limefanyika pia likiwa ni maalum ya sehemu ya
kumuenzi aliyekuwa mwanaharakati mahiri wa mazingira nchini Kenya
ambaye kwa sasa ni marehemu,Prof.wangari maathai wa nchini humo.


Mwanamuziki Shaggy akipanda mti.(Picha zote zimetumwa na Ahmad Michuzi aliyeko Jijijini Nairobi)

No comments:

 
 
Blogger Templates