Wachezaji sita bora waliochaguliwa katika michuano ya kukuza vipaji vya soka kwa vijana ya Airtel Rising Stars, wakiwa na vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi, katika kilele cha michuano hiyo, jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Wachezaji hao watashiriki kliniki ya Manchester United itakayofanyika Uwanja wa Taifa kuanzia Oktoba 30 hadi Novemba 2, mwaka huu.
Daktari Dar ajishindia Mil. 100/- za Fainali NMB Bonge la Mpango
-
NA MWANDISHI WETU
MSIMU wa Nne wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde ulioendeshwa na Benki ya
NMB ‘NMB Bonge la Mpango – Mchongo Nd’o Huu,’ umefikia tamati...
1 hour ago
0 Comments