SONY ERICSSON YAJA NA AINA NNE MPYA ZA SIMU ZA MKONONI.

 Meneja Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa SONY ERICSSON Barani Afrika  Jorgen Berg akitoa maelezo kwa wadau  walioshiriki uzinduzi wa wa simu za mkononi za Kampuni hiyo iliyoambatana na bahati nasibu kwa wageni waalikwa.
 Wadau mbalimbali wakifuatilia uzinduzi huo.
 Pichani juu na chini ni washindi wa bahati nasibu ya SONY ERICSSON ambapo juu ni Willy Edward  kutoka Jambo Leo na chini ni Operation Manager wa MO Blog Zainudin Mzige walipata simu aina ya XPERIA mini (TOUCH SCREEN)

Post a Comment

0 Comments