Social Icons

Wednesday, September 28, 2011

MWANAMUZIKI CAPO SNOOP AWASILI NAIROBI KUPAMBA SHINDANO LA TUSKER ALL STARS

  


Mwanamuziki Capo Snoop akipozi kwa picha katika Studio za  97 1FM  mwenye asili kutoka nchini Angola Jijini NairobiKenya .Capo yuko Nairobi kwa ajili ya kupamba shindano la Tusker All Stars litakalofanyika katika viwanja vya Canivo Oktoba Mosi.
Capo anatamba na nyimbo kama Pracatatumba.
Picha  zote zimetumbwa na Ahmad Michuzi wa www. jiachie.blogspot.com
Mwanamuziki Shaggy ambaye  ni raia wa Jamaica anayefanya kazi zake za muziki nchini Marekani naye atapamba usiku huo.

No comments:

 
 
Blogger Templates