Miss Tanzania 2011 Salha Israel akiwa katika zawadi yake ya gari aina ya Jeep lenye thamani ya sh.Mil72 mara baada ya nyota yake kungara dhidi ya warembo wengie 29 kati ya 30 ambao walishiriki kwenye shindano hilo lililofana ambalo lilifanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Salha akipata picha ya Ukumbusho na Wadau waandamizi nje ya ukumbi wa Mlimani City mara baada ya kutwaa taji hilo usiku wa Jumamosi.
Hawa ni Tano Bora ambapo Salha alikuwa miongoni mwao kabla ya kutwaa taji hilo.
Huyu ni Fatma ambaye aalikuwa Mratibu wa Miss Dar City Centre kitongoji alichotoka Salha akipagawa kwa furaha mara baada ya mrembo wake kuibuka mshindi.
Waandishi waandamizi wa Habari za Urembi nchini ,Somoe kulia kutoka gazeti la Nipashe na Khadija Kalili Tanzania Daima wakiwa wamechill nje ya ukumbi wa Mlimani City mara baada ya shindano hilo kumpata mshindi wake.
Tupo kazini jamani.
Waandishi waandamizi habari za Urembo nchini pia wote kwa nyakati tofauti kila mmoja aliwahi kuratibu shindano la urembo majina na Vyombo wanavyofanyia kazi kwenye mabano kutoka kulia ni Dina Ismail'Mamapipiro', (Free Media/Tanzania Daima), Angela Msangi (TBC1) hivi sasa Mratibu Miss Inter Collage, Somoe Ng'itu (Nipashe) na Khadija Kalili (Tanzania Daima/Bongoweeekend).
Wakilishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Ni kama wanasema Hapo vipiii??????
Mashostito wakaaamua kukaa chini lool bora mambo yameisha.
Shoo likiendelea ndani ya Mlimani City mambo yalikuwa Bam Bam.
MWENYEKITI COREFA AJIFUNGA MKANDA KUFUFUA SOKA LA UFUKWENI PWANI
-
NA VICTOR MASANGU,PWANI
Chama cha soko Mkoa wa Pwani (COREFA) katika kuunga mkono juhudi za Rais wa
awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kukuza se...
2 hours ago
0 Comments