EID MUBARAK!

 HAPPY EID  EL FITR A BIG HUG AND WELL WISHES TO YOU AND YOUR FAMILY  MAY THIS HOLY HOLIDAY  BRING HAPPINESS, UNITE, STRENGTH AND BLESSINGS EID MUBARAK ALL WITH LOVE KHADIJA.CHINI NI BAADHI YA WANAFAMILIA NILIOJUMUIKA NAO NYUMBANI KWETU SIKONGE TABORA.



  WADAU SALAAMS NINGEWATUMIA UA LAKINI LITANYAUKA AU KUSINYAA,LAITI KAMA NINGEKUTUMIA KADI  NAYO ITACHAKAA , BASI DUA NJEMA NAWAOMBEA WOTE KWANI HIYO ITAFAA NA KUDUMU ILI NYOTE MUWEZE PATA SHUFAA KHERI NA  UMRI MREFU DUNIANI INSHAALLAH AMIN, EID MUBARAK.

Post a Comment

0 Comments