Mwenyekiti wa CCM taifa, Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Aman Abeid Karume (wa tatu kushoto), Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa (kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Willson Mukama, wakiwa katika ufunguzi wa Kikao cha Kamati kuu kilichofunguliwa leo Julai 31, katika Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma. Picha na Muhidin Sufiani-OMR .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika ufunguzi wa Kikao cha Kamati Kuu kilichoanza leo Julai 31, 2011 katika Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma. Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
VIONGOZI KUTOKA CHATO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO TFS - SHAMBA LA MITI SAOHILL
-
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Dkt Linda amewapongeza kwa kuchagua kuja
kutembelea na kujifunza kuhusu uhifadhi wa misitu utunzaji mazingira na
ukusanyaj...
1 hour ago
0 Comments