MWANAMUZIKI WA MIONDOKO YA HIP HOP LUDACRIS ATAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO

Ludacris pichani mwanamuziki wa kimataifa ambaye amewasili nchini leo jioni aanatarajiwa kuzungumza na waandishi kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari kesho Ijumaa saa tatu asubuhi katika mkutano uliopangwa kufanyika Kilimanjaro Kempinski ambako atazungumzia kuhusu ujuio wake katika kunogesha tamasha pendwa la Serengeti Fiesta 2011, litakalofanyika Julai 30 kwenye viwanja vya Leaders Club , Kinondoni Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments