MAZISHI YA DANNY MWAKITELEKO ,MWAKALELI MBEYA

 Baadhi ya wahariri waliohudhuria ibada ya Mazishi ya Danny Mwakiteleko aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa New Habari wakiwa kanisani katika Ibada.
 Meneja Mawasiliano wa Serengeti Breweries (SBL) Iman Lwinga (kushoto) na Mkurugenzi wa Habari wa Bunge, Jose Mwakasukwa nao walishiri.
 Sehemu ya waombolezaji wakiwa Kanisani
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda akitoa salamu za jukwaa hilo.
Mhariri Mtendaji wa New Habari, Frank Balile akisema machache juu ya Marehemu Danny
 DC wa Rungwe Jackson Msome akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Danny.
 Viongozi wa Kanisa la KKKT nao walitoa heshima...
 Mjane na watoto wake waklitoa heshima kwa mwili wa Marehemu.
 Wahariri walibeba jeneza lililohifadhia Mwili huo na kuelekea Makaburini.
 Maiti ilishushwa kaburini...
 Kaburi likafunikwa
 Mjane Winfrida Mwakiteleko akiweka shada la maua..
Wanahabari wakiweka nao mashada ya maua kaburini.

Post a Comment

0 Comments