Ben Poul akiimba kwa hisia kali.
Linex akiwakilisha jukwaani ambaye anatamba na vibao vya Mama Halima na Moyo wa Subira.
Rais wa Masharobaro Bob Junior akiwa jukwaani sambamba na wanenguaji wake katika uwaja wa Mkwakwani.
Copyright © 2015 - 2025 BongoWeekend All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments