Mwendeshaji wa Blog hii nikiwa katika pozi kwenye kumbukumbu ya Mnara wa Azimio la Arusha jijini hapa kazi zinaendelea jana ilikuwa mambo ya Serengeti Fiesta Dance 'Dansi la Fiesta' leo ni zoezi la kuchana mistari wale mabingwa watakamua kibingwa ndani ya Mawingu Club wakati wowote kuanzia sasa. Leo itakuwa hitimisho na baada ya hapo msafara mzima ni kurudi Bongo Dar es Salaam kuendelea na mambo mengine.Jumapili njema.
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA SAME ZAKATA MAWASILIANO YA KATA TANO..
-
NA WILLIUM PAUL, SAME.
MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Same mkoani Kilimanjaro zimesababisha
kukatika kwa daraja ya Kizangaze na kukata mawasilia...
9 hours ago
0 Comments