Ajali hii nimeiona wakati nikiwa katika mizunguko ya kazi mwenye gari kubwa kaserereka kavamia mistimu ya umeme huku barabara mpya ya Bagamoyo huku kukiwa na foleni ndefu. Chanzo cha ajali ni kumkwepa mwendesha baiskeli.
Baadhi ya watu wakishangaa pia hakuna aliyeumia.
0 Comments