Mwili wa Marehemu Issa Kijoti, Mwimbaji wa Five Star Morden Taarab aliyezaliwa Novemba 21 1985 ukizikwa jana katika maziko yaliyofanyika katika makaburi ya Mtoni Sabasaba jana mara baada ya kuwasili kutoka Mkoani Morogoro ambako marehemu na wengine walipoteza maisha.Chanzo ni http://www.globalpublishers
AZAKI ZAITAKA SERIKALI KUTENGA 3% KWA ULINZI WA MTOTO
-
Na Janeth Raphael MichuziTv – Dodoma
Mashirika yasiyo ya kiserikali (AZAKI) yameiomba Serikali kupitia Bunge
kuhakikisha asilimia tatu ya mapato ya halma...
1 hour ago
0 Comments