Bendi ya Kilimanjaro 'Wana Njenje' wanaopagawisha na nyimbo za Kinyaunyau kikia cha Pweza, Boko, Kachiri, Gere, Njenje, Maige, Tupendane Tummogele na nyimbo nyingine nyingi ambazo zimeweza kukaa katika akili za watu kwa muda mrefu leo zitasikika 'live' kwenye ukumbi wa Villa Park Jijini Mwanza 'Rock City' . Wapenzi wa Mwanza haya haya tunategemea mtakata leo 14 February, siku ya Valentine. Njoo na mupenzi, ndugu, rafiki na jamaa kwa picha zaidi tembelea http://www.wananjenje.blogspot.com/
Rais Samia: Vijana Ndio Injini ya Serikali, Hatma ya Tanzania Ipo Mikononi
Mwenu
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema
vijana ndio nguzo kuu ya uendeshaji wa Seri...
5 hours ago
0 Comments