Katibu mkuu wa cha chama waandishi wa habari za michezo Amiri Mhando amesema tuzo ya mwanamichezo bora ya mwaka jana inatarajiwa kutolewa Mei 6 mwaka huu katika ukumbi wa Waterfront Jijini Dar es Salaam.
Amesema bado wanaendelea na mazungumzo na makampuni mengine kupata udhamini wa kufanikisha utoaji tuzo hiyo.
Mwaka juzi tuzo ya mwanamichezo bora ilikwenda kwa mcheza netiboli Mwanaidi Hassan ambaye amechipukia katika mchezo wa netiboli na kuwazidi wachezaji wakongwe ,lakini pia tuzo ya mwaka huu imekuwa na utofauti mkubwa kutokana na TASWA kuambua kuwapa nafasi viongozi wa vyama vya michezo kuchagua wachezaji watatu kwa kila chama ambao watashindana katika kupata tuzo ya mwaka jana tofauti na ilivyokuwa ikifanyika.

0 Comments