MWEMYEKITI wa chama cha wananchi (CUF) Ibrahim Lipumba ametembelea kambi ya wahanga wa milipuko ya mabomu iliyotokea Gongo la Mboto wiki iliyopita ambapo alikadhi misaada ya vyakula mbalimbali.
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments