Bonanza la wanahabari mambo saafi, pichani Ofisa Habari wa Kampuni ya Simu ya Airtel Mutta Muganyizi akionyesha baadhi ya zawadi zitakazotolewa kwa washindi katika michezo mbali mbali itakayofanyika kwenye bonanza la wanahabari kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama Jumamosi Februari 12 2011, Mutta alisema Aitel watatoa simu pamoja na fedha taslimu kwa shindi wa kucheza muziki na kuimba michezo mingine ni kuvuta kamba, mbio za magunia kukimbiza kuku mbio za mita 100 , soka na basketball na mingine mingi.
M-Bet yatambulisha tovuti yenye huduma bora na bomba kwa wateja
-
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Kampuni inayojulikana kwa ubunifu katika sekta ya michezo ya
kubahatisha, M-Bet Tanzania, imezindua muonekano mpya wa tov...
9 minutes ago
0 Comments