SIKU NILOPKULA NONDOZZZ JIJINI TANGA


Hapa nikiwa na Baadhi ya wahitimu wa DIJMC tukiingia katika eneo maalum kabla ya kupokea vyeti.Hivyo basi nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyeezi Mungu Subhanahuwataala na wale wote waliokuwa mbele yangu hasa familia yangu kwa kunipa morali wa kujiendeleza kielimu kwani Elimu haina mwisho nawashukuru wote.KALILI

Nikiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wenzangu kutoka katika mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Morogoro. Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja Katika Mahafali ya pili ya Chuo ChaUandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Cha DIJMC yaliyofanyika katika ukumbi wa Kituo Cha Pope John Paul II kilichopo Jijini Tanga, Jumamosi Desemba 4 ,2010 .
Kutoka Kushoto Mhitimu mwenzangu Frida Pangani, mimi na Shostito Tina.
Hapa ndipo mahafali haya yapofanyika.
Tina mwenye nguo nyeupe, mimi, Baraka Owino, Frida na Omega.

Mimi na Frida. Baraka Owino aliyekuwa mrefu kupita wahitimu wote na mimi.







Post a Comment

0 Comments