MLINZI WA KAMPUNI YA FORCE GROUP SECURITY AJINYONGA

Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Force Group Security, aliyefahamika kwa jina la Charles akiwa amening'inia katika mti wa mpera baada ya kusadikiwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali na tai, leo asubuhi eneo la mtaa wa Kwamkarangani Frelimo mjini Iringa. hata hivyo kutokana na mazingira ya kifo hicho wananchi wameonyesha wasiwasi wao kutokana na jinsi askari huyo alivyokutwa amening'inia huku miguu yake ikiwa imegusa chini.(Picha Habari kwa hisani ya www.SufianiMafoto.blogspot.com).
Gari la Polisi likiwa limefika katika eneo la tukio yatari kwa kuuchukua mwili wa marehemu.

Post a Comment

0 Comments