JOHN MNYIKA WA CHADEMA ATWAA JIMBO LA UBUNGO

Hatimaye Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ametangazwa kuibuka na ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuti cha Ubunge Jimbo la Ubungo Dar es Salaam hivyo basi kwa matokeo hayo yaliyotangazwa rasmi Mnyika ndiye Mbunge mteule wa jimbo hilo.

Post a Comment

0 Comments