Yanga ya Dar es Salaam wametoka kifua mbele katika mechi yao ya leo na watani wao wa jadi Simba 1-0.Licha ya Timu ya Wekundu wa Msimbazi kuopata nafasi takriban 5 wameshindwa kuzitendea haki lakini Yanga mara walipopata nafasi moja tu hakufanya ajizi kwa kupitia mchezaji wao Jerry Tegete akapachika bao katika dakika ya 71, hivyo hivi sasa Yanga watakuwa mbele ya Simba kwa kuwa na pointi 19 na Simba wakiwa na pointi 15.
YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA AL AHLY
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KLABU ya Yanga imelazimishwa kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Al ahly ya Misri,
mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la New Aman Z...
1 hour ago
0 Comments