Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akitoa mkono wa pole kwa mwakilishi wa familia iliyopatwa na msiba, baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo mchana na kukuta shughuli za msiba huo uliotokea Kijijini hapo jana.Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal (watatu kushoto) waliosimama, akishiriki katika shughuli za mazishi ya mkazi wa Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo mchana, wakati alipofika kijijini hapo kwa ajili ya kukuta msiba huo uliotokea jana kijijini hapo. Shughuli za mazishi zikiendelea (Picha zote na Muhidin Sufian).
BARAZA LA WAFANYAKAZI PSPTB LAFUNGULIWA
-
*Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB Godfred Mbanyi akizungumza wakati wa kufungua
kikao cha baraza la wafanyakazi wa PSPTB likilokuwa na lengo la kutathimini
...
14 minutes ago
0 Comments