Ishu mpya iliyodondoka pande hizi wakati tukijiandaa kuelekea mitamboni inasema kwamba, mtayarishaji muziki, Sandu George Mpanda ‘Kid Bwoy’ aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando,jijini Mwanza baada ya kupigwa kwa kitu kizito kichwani na mtu asiyejulikana ameruhusiwa kutoka hospitalini hapo akiwa na ahueni tele.Akipiga stori na ShowBiz kwa njia ya simu juzi kati, rafiki wa karibu na Kid, Phillbert Kabago alisema kwamba, jamaa ameruhusiwa kutoka jana (majuzi) na hivi sasa yuko nyumbani kwao Lumala akijipanga kabla ya kurudi tena kwenye game.
USHIRIKISHWAJI WA MAOTEO YA BAJETI NI NGUZO YA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO YA
TAASISI- MWENYEKITI TUME YA UTUMISHI.
-
Na Belinda Joseph-Arusha.
Mwenyekiti wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mstaafu Hamisa
H. Kalombola, amesema kuwa usimamizi bora na ushirik...
14 minutes ago
0 Comments