MSANII wa kizazi kipya, Khamis Illunga Khalifa, maarufu kama ‘Cpwaa’ ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘So Pwaaaa’ ikiwa ni sehemu yake ya tatu ya wimbo wa ‘Pwaa’.Ujio wa wimbo huo unakamilisha maneno yake ambayo alisema kuwa atakuwa akipiga wimbo huo katika kila albamu yake kwa kuwa ndio uliomtambulisha vilivyo.
HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YAKIMBIZA WAHUNI WOTE KWENYE MIRADI YA
SERIKALI
-
Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imefuta mikataba yote ya ujenzi ambayo
imekuwa ikisuasua katika utekelezaji na kuisababishia halmashauri hasara
kubw...
8 hours ago
0 Comments