Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili Masjid Al Abrar - Tazari kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na Mgeni rasmi katika Dua ya Kumuombea Mhe, Rais, na kuiombea n Achi Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu , Amepokelewa na wanafunzi wa almadrasatul Nuru Nnabiy -Tazari Zanzibar leo tarehe 03 Oktoba 2025 Masjid Al Abrar - Tazari Mkoa Kaskazini Unguja




0 Comments