DKT. MWINYI AOMBA KURA KWA WAFANYABIASHARA MWANAKWEREKWE

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi alipotembelea na kuzungumza na wafanyabiashara wadogo wadogo wa soko la Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, leo tarehe 29 Septemba 2025, katika Muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi

Post a Comment

0 Comments