Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu akiwa kwenye hafla ya kupokea gawio la serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye hafla ya kupokea gawio. La serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni 2025.
0 Comments