Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Félix Houphouët Boigny uliopo Jijini Abijan nchini Ivory Coast leo tarehe 24 Mei 2025. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mikutano ya Mwaka ya Bodi za Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) itakayofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 30 Mei, 2025.
MKURUGENZI MKUU MSD:TUNAYO AKIBA YA KUTOSHA DAWA NA VIFAA TIBA NCHINI
-
-Awatoa hofu Watanzania wanaohofia upungufu wa dawa kutokana na mzozo
mashariki ya kati
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD)...
11 hours ago




0 Comments