WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) katika
akimkabidhi pikipiki Mkurugenzi wa Kituo cha Sober House cha Gift of
Hope kilichopo Kange Jijini Tanga Saidi Bandawe kwa ajili ya kuitumia
kwenye matumizi yao
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto
akizungumza mara baada ya kukabidhi pikipiki hiyo
WAZIRI
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye
pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM)katikati akiwa kwenye
picha ya pamoja na viongozi ambao waliambatana nae ikiwemo vijana
matibabu ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.
WAZIRI wa
Afya Ummy Mwalimu amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga
kutenga eneo la hekari 10 kwa ajili ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya
Gift of Hope Foundation ambayo inasimamia kituo cha Sober House.
Hayo ameyazungumza alipotembelea kituo hicho kinachow asaidiawaat
hirika wa madawa ya kulevya kilichopo eneo la Kange kata ya Maweniambapo
alikabidhi pikipiki 1 kwa ajili ya kituo hicho.
Waziri Ummy
alisema jambo linalofanywa na taasisi hi yo lazima liungwe mkono na
Serikali kutokana na jitihada zao za kukabiliana na mapambanoya matumizi
ya madawa ya kulevya hasa kwa waathirika.
Alisema nguvu kubwa
inatumiwa na waanzishaji wa nyumba hizo kwa lengola kusaidia vijana
huku wakikosa msaada wa kudumu wa kuwawezeshawaweze kujitegemea tofauti
na ilivyo sasa wanavyoishi kwa kuomba misaada.
“Jambo
linalofanywa hapa sobber house ni juhudi kubwa na lazima sis ikama
serikali tuwaunge mkono hawa watu wakishindwa makundi haya kama yatarudi
mitaani hali inaweza kuwa mbaya zaidi”Alisema.
Aidha alisema kufuatia taarifa ya taasisi hiyo ya kuhitaji eneo la
kutosha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba,shughuli za mikono ikiwamou
fugaji,kilimo cha mbogamboga na hata ufundi ni jambo la msingi
naviongozi wote wanatakiwa walione kwa jicho la tatu.
“Jamani
hawa watu wasiishi kw a kuombaomba lazima wapatiwe eneo lao na
waanzishe miradi yao itakayowasaidia kujikimu na mahitaji ya kila sikuna
tukifanya hivi tutaokoa kundi kubwa la vijana linaloangamia sikihadi
siku”Alisema Waziri Ummy.
Mbali na hilo alisema akiwa kama
Waziri mwenye dhamana atahakikisha dawa za Methadol zinafika Moani hapa
kama ilivyo katika mikoa mingine ili kuweza kuwasaidia vijana hao
kupunguza makali ya madawa.
“Kwanza nashangaa kama tanga
haipati dawa hizi za methadol ikiwa ni mkoa wa pili baada ya dare s
salaam kwa wingi wa watumiaji wa mada ninayo dhaama na dawa hazi
zitafika sasa kwa ajili ya vijanawetu”Alisema.
Kwa upande wake
Mkurugenzi wa taasisi hiyo Said Bandawe alisema kwasasa wanaishi katika
nyumba ya kupanga na wamepewa eneo na wamepewa eneo la mtu kwa kuazimwa
kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga nashughuli za ufugaji.
Alisema maisha ya vijana bado magumu hasa swala la chakula,malazi,dawa
za Methadol, na namna ya kupata mahitaji ya kila siku kwa ujumla huku
akijaribu kutafuta mahitaji kwa kuomba misaada kuwasaidia vijana
haowanaokadiriwa kufikia 68 (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
0 Comments