MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO

 Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya na Mbunge kutoka Barza la Wawakilishi Zanzibar, Machano wakiingia bungeni Dodoma leo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Naibu Spika, Dk. Tulia Akson akizungmza na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiku baada ya kusitisha Bunge kwa ajili ya mapumziko mchana wa leo.




 Wabunge wakijadiliana jambo walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma




 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (kulia), akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Joyce Sokombi kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma
 Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigangwalah akijibu maswali ya wabunge
 Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Iringa, Ritta Kabati (kushoto) akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Oliva

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mbunge  wa Newala Vijijini, George Mkuchika
 Wanafunzi wa Shule ya ADC NARCO ya wailayani Kongwa wakiwa bungeni Dododma kuona mwenendo wa bunge hilo



Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwasihi wabunge kuwa na tabia ya kuheshimiana baada ya Mbunge wa Mbozi, Haonga kumwambia yeye amekula maharage gani kiasi kwamba hawaoni kuwapa nafasi ya kuchangia hoja wabunge wanaokaa nyuma.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akitangaza bungeni, Dodoma, kutengua baadhi ya kanuni ili mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge, marehemu Samuel Sitta uingie bungeni leo kwa ajili ya kuagwa na wabunge. Kulia ni Mwansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Mashariki, Kolimba (kushoto) na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Anjelina Mabula wakiingia bungeni


Post a Comment

0 Comments