Kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimnowa bondia Vicent
Mbilinyi kwa kumwelekeza kupiga ngumi zilizo nyooka wakati wa mazoezi ya
bondiahuyo ya kujiandaa na mpambano wake wa septemba 17 kuzipiga na George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akinolewa na kucha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kujiandaa na mpambano wake wa septemba 17 kuzipiga na George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika Carnivore Grounds, Nairobi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Vicent Mbilinyi amendelea amendelea kujinoa kwa ajili ya mpambano wake ujao dhidi ya
George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Carnivore Grounds, Nairobi
septemba 17
George Owano wa Kenya mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Carnivore Grounds, Nairobi
septemba 17
Mpambano uho wa kwanza kwa Mbilinyi utakaofanyika nje ya nchi na ni wakimataifa utakuwa wa raundi nane uzito wa kg 63.5
Bondia huyo anaenolewa na kocha wa
Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema
kuwa yupo tayali kwa ajili ya mpambano uho kwana ana shaka kwa kuwa
mbinu zote anazijua na siri ya ushindi wake itakuwa ni si vinginevyo
ndio mana ameamua kuwa katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM kwa ajili ya kunolewa kwa mpambano uho ujao
nae kocha wa bondia huyo aliongeza kwa
kusema kuwa Mbilinyi kwa saa yupo fiti kila idara kilichobakia kwa sasa
ni mazoezi ya kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya kuondoa uoga wa
macho wakati wa mchezo
aliongeza kwa kusema Super D kuwa
Mbilinyi ni bondia wake mwingine anaekwenda nje ya nchi wa kwanza
alikuwa Ibrahimu Class 'King Class Mawe' alienda Zambia na kufanikiwa
kushinda kwa kurudi na ubingwa wa WPBF Afrika mwingine Ni mwana Dada
Lulu Kayake aliyenda Afrika ya kusini na kurudi na ushindi
Hivyo mabondia wangu wote wanapokwenda
nje ya nchi wa mara ya kwanza wanarudi na ushindi ndivyo itakavyokuwa
kwa Mbilinyi ni wakati wake sasa
0 Comments