Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment AshaBaraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu tamasha hilo la kukata na shoka ambalo halijawahi kufanyika hapa nchini. Tamasha hilo limepangwa kufanyika Jumamosi Julai 30 2016 katika viwanja vya Leaders Club, Jijini Dar es Salaam.
Picha Zote na Geofrey Adroph
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanamuziki hao kuhusu tamasha hilo la muziki wa dansi nchini. Makonda amewapongeza walio buni wazo hilo huku akisema hata yeyeni mdau mkuu wa kuziki wa dansi huku akitoa ahadi ya kuwepo siku ya onyesho hilo na kuahidi kutoa zawadi ya Sh. Mil. 1 kwa bendi ambayo itakonga nyoyo za mashabiki watakao fika Leaders Jumamosi.
Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi, Ali Choki akiwaongoza wenzake kutoa burudani mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipofika ofisini kwake leo, kuzungumzia Tamasha la muziki huo litakalofanyika Jumamosi Viwanja vya Leaders ambalo litashirikisha bendi 10 maarufu za hapa nchini.
Baadhi ya waandishi wakiwa kazini
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa dansi baada ya kuzungumza nao ofisi kwake.

0 Comments