Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania
Bw.John Kitime akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofisini kwa Naibu Waziri
wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura kuwasilisha
taarifa ya mapendekezo ya kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini
Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Annastazia Wambura akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki
Tanzania Bw.John Kitime mara baada
ya kupokea taarifa ya mapendekezo ya
kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania
Bw.John Kitime akizungumza na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Annastazia Wambura ofisini kwa Naibu Waziri wakati aki wasilisha taarifa ya mapendekezo ya
kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,
Sanaa na Michezo Bw. Habibu Msammy akichangia
mada wakati wa majadaliano kati ya na Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura na Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime kuhusu maboresho ya tasnia ya Muziki hapa
nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.;
WANAWAKE WANASOMA SAYANSI NA KUITUMIA KUIFAA JAMII
-
*Diana Mbogo*
Leo, kinyume na miongo kadhaa iliyopita, shauku ya wanawake ni halisi
katika fani ambazo hapo awali zilichukuliwa kama nafasi za wanaume.
...
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA KUPIGA KURA
-
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete
amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura
kuchagua vion...
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA KUPIGA KURA
-
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete
amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura
kuchagua vion...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments