Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (katikati ) akiwa
katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea Seong-hyeog Yim (kushoto) mara
baada ya kusaini na hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola
za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania
zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda
jana Jijini Dar es salaam. Wengine katika picha ni Mtendaji wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS) . Daraja hilo litaanzia eneo la Aghakhan kupitia bahari ya Hindi na kuishia katika ufukwe wa Coco ikiwa ni katika mpango wa kupunguza msongamano wa magari karika daraja hilo .
ZIARA YA PROF. KITILA MKUMBO JIJINI LONDON
-
London, Uingereza –
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Mheshimiwa Prof.
Kitila Alexander Mkumbo (Mb.), amewasili jijini London kuanz...
Tarangire in a Heartbeat!
-
Big thanks to *Divine Eneja and Milou* for choosing Mobila Safaris for
their epic Tarangire day trip!
From the giant Baobabs to the massive ...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments