Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza bondia bingwa wa mkanda wa W.P.B.F Africa, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi za 'upcat' mkunjo wa chini kwa ajili ya kupiga chembe na kidevu wakati anacheza na mpinzani Class anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa W.B.O Africa mpambano utakaofanyika Feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini anaendelea kumnoa bondia bingwa wa W.P.B.F Africa Ibrahimu Class 'king Class Mawe' kwa ajili ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa U.B.O Africa na Cosmas Cheka utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa feb 28
akizungumzia mpambano huo Super D amesema kuwa bondia wake kwa sasa ndio bondia bora wa Tanzania baada ya mwaka jana kwenda nchini Zambia na kurudi na ubingwa wa WPBF Africa hivyo kwa nchini akuna bondia yoyote atakae mbabaisha katika uzito wake kwa kuwa yeye ni bingwa wa nje na ndani kumbuka mabondia wengi wanaokwenda nje wanapigwa raundi ya kwanza ya pili au ya tano na king class kafuta uteja wa aina hiyo kwa kumpiga bondia nyumbani kwao na kunyakuwa ubingwa
nae bondia King Class Mawe amesema kwa sasa mda wowote ule hata leo naomba tupigane tu kwa kuwa nipo fiti sana hivyo nipo tayali kwa mpambano huo ninao usubilia kwa hamu kubwa sana ambapo tangia nichukue ubingwa nchini Zambia mwaka jana sijacheza hivyo nina uchu wa kupigana hata leo
ili kuondoa utata watanzania wapate kujua nani zaidi katika mchezo huu wa masumbwi nimesikia sana Cosmas Cheka anatamba hivyo namwambia mimi ni mfalme wao katika masumbwi nchini na awezi kupigana na mimi kwa kuwa yeyey anataka kusafilia nyota ta kaka yake fransic Cheka na awezi nina kila sababu ya kumsambalatisha Cosmas hivyo aje kwa tahadhali
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi
watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali
ikiwa ni
pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D
.
--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
0 Comments