Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw.
David Mgwassa wa pili kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi
viwanda na biashara kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Ofisa
wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia akiwaonesha kinywaji cha
zanzi wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara walipotembelea
kiwanda hicho
Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiangalia mashine inayotengeneza konyagi ya kiroba
WAKILI ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA BAVICHA
-
Wakili wa mahakama kuu ya Tanganyika Deogratius Mahinyila leo ametangazwa
kuwa mwenyekiti mpya wa taifa wa Baraza la Vijana wa CHADEMA yaani BAVICHA
kufu...
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali
Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgenin wake Balozi wa Tanzania Nchini
Nigeria...
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
-
KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi
kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua
Progra...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments