Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema
akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha
Mbagala Youth Group Said Mponda baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika
la Nyumba la Taifa NHC ambalo limetoa mashine kwa vikundi hivyo ili
kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana
mashine hizo zilikabidhiwa kwa mkuu wa wilaya na Meneja wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC tawi la Temeke Bw. Wencenslaus Tillya. (PICHA FULLSHANGWE)
CRDB BANK YAKUTANISHA VIONGOZI NA WATEJA MOROGORO KATIKA FUTARI YA RAMADHANI
-
Farida Mangube, Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amewataka Watanzania kuendelea
kudumisha amani, umoja na mshikamano katika kipindi hi...
1 minute ago
0 Comments