Meneja
Mauzo wa Kanda ya Kaskazini wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya
jijini Arusha Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha shilingi
milioni 3.5kwa Makamu mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Moshi ,Chris Martin
ikiwa ni sehemu ya udhamini katika Mashindano ya Gofu ya Tanzania Open
K-Vant Gin Golf Co-operate Tournament 2014. .
TAZAMA HAPA WAGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI ZA KITAIGA ZA CHADEMA, MBOWE ATOA
NENO BARAZA KUU
-
* Baraza kuu la Chama katika kikao chake kilichofanyoka katika ukumbi wa
Mlimani city leo tarehe 20 Januari,2025 limefanya uteuzi wa wagombea wa
nafasi ...
4 hours ago
0 Comments