TPB YAJENGA VYOO MFUMO WA MAJI Maji SHULE YA MSINGI KIPAMPA

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani. Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa. 

Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi. Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi.

Post a Comment

0 Comments