Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (katikati waliokaa) na
wakurugenzi wengine wa TASAF Wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waratibu
wa mikoa wa mamlaka ya eneo la utekelezaji wa halamashauri 22 baada ya
ufunguzi wa warsha ya siku mbili mjini Mtwara
Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akifungua Warsha elekezi ya
siku mbili kwa maafisa ushauri na ufuatiliaji, waratibu wa mikoa,
waratibu na wahasibu wa mamlaka ya eneo la utekelezaji wa halamashauri
22 nchini inayofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu cha SAUT Mjini Mtwara
Mkurugenzi
wa mpango wa TASAF Bw. Amadeus Kamagenge akitoa maelezo juu ya mpango
wa kuzinusuru kaya masikini na zilizo katika mazingira hatarishi katika
warsha hiyo
Washiriki
wa warsha hiyo wakiwa wamenyoosha mikono juu kama ishara ya kukubaliana
na jambo wakati Mkurugenzi mkuu wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga (hayupo
pichani) alipokuwa akifungua warsha hiyo
Sehemu ya washiriki wa warsha hiyo wakisikiliza kwa makini uwasilishi wa moja kati ya mada ilyokuwa ikiwasilishwa.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakisikiliza kwa makini uwasilishi wa moja kati ya mada iliyokuwa ikiwasilishwa
Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga, na wakurugenzi wengine toka
TASAF Makao Makuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na waratibuwa mamlaka
ya eneo la utekelezaji wa Halamashauri 22 nchini (waliyosimama) Mjini
Mtwara
0 Comments