Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimkaribishakatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika banda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii |
Add caption |
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud kilia akimpatia mahelezo katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembeleabanda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii |
Mkurugenzi wa mipango ya uwekezaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Gabriel Silayo katikati akiwa na baadhi ya maofisa wa PSPF wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma |
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni
kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud akimkaribisha Bi,
Veronica Nyambajo wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
yaliyomalizika jumatatu hii
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni
kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud aki muhakiki mteja
Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata
mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi
wa Umma
Afisa wa mfuko wa pesheni kwa
watumishi wa umma Bi, Leila Laizer kulia akimpatia maelekezo Francisca
Kwitende ambaye alitembelea banda hilo
kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya
maadhimisho ya watumishi wa Umma
BAADHI YA WANANCHI WALIOTEMBELEA BANDA LA PSPF WAKIPATIWA HUDUMA MBALIMBALI WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa
watumishi wa umma 'PSPF' Bw,Hadji Jamadary kulia akitoa maelekezo
mbalimbali jinsi ya kujiunga na mfuko huo
0 Comments