Muuguzi wa Hospitali ya Tanwat, Asnath Mdakule
akitoa huduma ya upimaji wa afya ya magonjwa ya shinikizo la damu ‘BP’ na
uwiano kati ya urefu na uzito kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakati maonesho ya uzinduzi wa
mkoa mpya wa Njombe, ikiwa ni moja ya huduma zinazotolewa na shirika hilo
katika mafao ya Matibabu. Picha na Shaban Lupimo
Muajiri Mkubwa wa NSSF Njombe ambae ni Mhandisi wa kampuni ya Tanwat Njombe Umesh
Radd akisaini kitabu cha wageni kabla ya kupokea maelezo kuhusiana na uanachama
wa hiari na sekta binafsi kutoka kwa
Meneja wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF mkoa wa Njombe, Godwin Mwakalukwa
baada ya kutembelea banda la shirika hilo kwenye maonesho ya uzinduzi wa mkoa
katika uwanja wa.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu Aseri Msangi
(kushoto) akipokea maelezo kuhusiana na uanachama wa hiari na sekta binafsi
kutoka kwa Meneja wa Shirika la Hifadhi
ya Jamii NSSF mkoa wa Njombe,Godwin Mwakalukwa (katika) baada ya kutembelea
banda la shirika hilo kwenye maonesho ya uzinduzi wa mkoa katika uwanja wa
SabaSaba kulia ni Ofisa Uhusiano wa shirika hilo Maife Kapinga.
Maelezo.....
0 Comments