Aliyekuwa bingwa wa dunia wbfed middle weight bondia Karama Nyilawila amesema
ana hamu kubwa ya kumdunda mtoto wa manzese
Thomas mashali (ambae ni bingwa wa Afrika wbfed middle weight) alieutwa hivi karibuni kwa
kumshinda mada maugo ,
Mashali akizungumza na vyombo vya habari ameeleza kuwa mashali ameupata ubingwa huo kibahati na
haukubali uwezo wake na alishawahi kucheza na mashali alikuwa hayupo fiti alipigana
akiwa na malaria na akatoka nae sare
katika maamuzi ya utata kwa kuwa alikuwa kwao,
Karama nyilawila ambae hivi karibuni atakuwa na pambano dhidi ya Sado philemon tarehe 20 ya mwezi huu wa kumi katika ukumbi
wa ccm mwinjuma,pambano liloandaliwa na
Ibrahim kamwe wa bigright promotion aliendelea kusema pambano hili akifanikiwa
kumpiga sado hataupoteza ufiti wake kwa ajili ya mapambano yatakayofuata likiwemo la hasimu wake Thomas mashali.
0 Comments