Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA Tawi la
Tanzania, Boniface Kanemba akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu teknolojia
ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya uchumi na
kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa
kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers Development. (Picha na Habari Mseto Blog)
Baadhi ya washiruiki wa Semina hiyo kutoka katika taasisi za Fedha
Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akitoa mada katika semina hiyo.
Washiriki wa semina.
0 Comments